Domo Sauti AI
Domo Sauti · TanzaniaMaandishi kuwa sauti ya Kiswahili- 440+Watumiaji
- 1.9 MBUkubwa
- 8.0+Android
- KiswahiliLugha

Andika, chagua sauti, Generate
Kuhusu app hii
Geuza maandishi kuwa sauti asilia ya Kiswahili kwa sekunde chache: matangazo, video za YouTube na TikTok, vipindi vya redio na hadithi. Kiswahili kilichochanganywa na Kiingereza kinasomwa vizuri.
- Studio kamili: maandishi, sauti, hisia, MP3
- M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas, HaloPesa
- Tengeneza sauti yako kwa kurekodi
- Historia inabaki kwenye simu
Mambo mapya
Toleo 2.2.1- API keys kwa AI agent (Claude, Cursor, ChatGPT…) kwenye Akaunti
- Ongeza dakika kwa M-Pesa, Airtel Money, Mixx by Yas na HaloPesa ndani ya app
- App nyepesi zaidi: 1.9 MB tu
- App inakuambia toleo jipya likitoka
Usalama wa data
Data inasafirishwa kwa usalamaKila kitu kinapita kwa njia iliyosimbwa (HTTPS).
Ruhusa mbili tuIntaneti, na maikrofoni pale unapotengeneza sauti yako. Haisomi SMS, picha wala anwani.
Haiuzwi wala kushirikiwaTaarifa zako hazitumiki kwa matangazo.
Unaweza kufuta data yakoFuta sauti, au akaunti nzima, ndani ya app.
Alama ya sahihi ya app (SHA-256)
E6:73:41:B8:EE:8B:31:08:F4:E5:AA:7B:2E:AA:F0:D4:7B:CC:EC:B8:05:A8:DF:DE:3B:F5:66:5B:68:B7:FC:31Jinsi ya kuweka
- 1
Gusa INSTALLFaili la 1.9 MB linashuka. Ikimaliza, gusa ujumbe wa upakuaji.
domo-sauti-ai.apk - 2
Ruhusu mara mojaSimu ikiuliza, gusa Settings kisha washa Allow from this source, kisha rudi.
- 3
Install, kisha OpenIngia na akaunti yako ile ile. Umemaliza.
Install
Una app ya Domo Sauti AI kutoka Play Store? Iondoe kwanza, kisha weka hii. Akaunti na dakika zako hazipotei.
Maswali
Kwa nini haipo Play Store?
Toleo hili lina malipo ya pesa ya simu ndani ya app, na Play Store hairuhusu hilo kwa huduma za kidigitali. Ndiyo maana tunalitoa hapa moja kwa moja.
Akaunti na dakika zangu zitakuwepo?
Ndiyo. Ingia kwa barua pepe au Google ile ile unayotumia kwenye website. Salio, sauti zako na sauti ulizoshirikiwa zipo vilevile.
Nitapataje matoleo mapya?
App yenyewe itakuambia toleo jipya likitoka. Gusa ujumbe huo, pakua tena hapa na uweke juu ya ile ya zamani. Hakuna kinachofutika.
Nina app ya Play Store tayari
Iondoe kwanza (Uninstall), kisha weka hii. Hazikai pamoja kwa sababu ni app moja. Akaunti yako haipotei.
Nina iPhone
App ni ya Android tu. Kwenye iPhone fungua www.domosauti.com kwenye Safari, kila kitu kinafanya kazi humo.
Imepakiwa kutoka www.domosauti.com, tovuti rasmi ya Domo Sauti AI.




