Pamoja na Kiingereza kilichochanganywa.
Andika, chagua sauti, pakua MP3.
Lipia dakika unazotumia tu.
Bei rahisi
Hakuna ada ya mwezi. Dakika hazipotei.
- Sauti zote
- MP3 bila kikomo
- Hisia 22
Maswali
Domo AI ni nini?
Domo Sauti AI, wengi huiita Domo AI au AI Domo, ni huduma ya Kitanzania inayogeuza maandishi kuwa sauti ya Kiswahili kwa kutumia akili bandia (AI). Unaandika, unachagua sauti, unapakua MP3.
Maandishi marefu kiasi gani?
Hadi herufi 5,000 kwa mara moja, takriban dakika tano za sauti, zikisomwa kwa mkupuo mmoja.
Nikikosa sauti, nakatwa?
Hapana. Unakatwa pale tu sauti inapokamilika, kwa sekunde zake halisi.
Naweza kuchanganya na Kiingereza?
Ndiyo. Lugha inatambuliwa yenyewe, hata ukiandika kama unavyoongea.
Nalipiaje?
Kwa pesa ya simu. Weka namba yako, utapokea ombi la malipo kwenye simu, weka PIN yako, na dakika zinaingia papo hapo.
Kuna majaribio ya bure?
Ndiyo. Akaunti mpya hupata sekunde za bure za kujaribu, mara moja tu kwa kila mtu.
Dakika zangu zinaisha muda?
Hapana. Dakika ulizonunua zinabaki kwenye akaunti yako mpaka uzitumie.